Ligi Kuu ya Muungano ya Netiboli Kati ya Polisi Moro na TTPL Uwanja wa Gymkhana. Timu ya Polisi Moro imeshinda 36-33. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ligi Kuu ya Muungano ya Netiboli Kati ya Polisi Moro na TTPL Uwanja wa Gymkhana. Timu ya Polisi Moro imeshinda 36-33.

Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.


Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali ( GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.
Kocha wa Timu ya TTPL akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa
 sare ya 25-25
Kocha wa Timu ya Polisi Moro akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa
 sare ya 25-25
Mchezaji wa Timu ya Polisi Moro Maryam Shabani (GS) na wa Timu ya TTPL Hawa Pembe wakiwania mpira.  
Semeni Aswile(WD) akidaka mpira katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano mchezo uliofanyika uwanja wa Gymkhana timu ya Polisi Moro imeshginda 36--33.

Mchezaji wa timu ya Polisi Moro Frola Amandi (WA ) akijiandaa kudaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36- 33.
Mchezaji wa timu ya Polisi Moro akidaka mpira huku mchezaji wa Timu ya TTPL akiwa anajiaanda kumzuiya.
Mchezaji wa timu ya TTPL Doto Chitalula (GA) akiwa na mpira akijiandaa kutoa pasi wakati wa mchezio waio wa Ligi Kuu ya Muungano wa Netiboli inayofanyika katika uwanja wa Gymkhana, Timu ya Polisi Moro imeshinda 36-33Imetayarishwa na OthmanMapara.blogspotZanzinews.com 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages