Pages

Shangwe ya Coke studio yaleta furaha kwa wanafunzi mashuleni, Mwanza,Dar,Mbeya na Arusha waonyesha vipaji vyao vya kuimba

 Wanafunzi wa shule ya sekondari ya  Sunrise iliyopo Mwanza wakifuatilia burudani za tamasha la Coke Studio wakiwa na kinywaji cha Coca Cola shuleni hapo
 Wanafunzi wa shule ya sekondari  ya Bwiru wakiwa katika picha wakati wa tamasha ya Coke Studio wakati huo huo wakiburudika na kinywaji cha Coca Cola
 Wasanii wakitoa burudani wa wanafunzi
 Msanii chipukizi wa kucheza dansi mkoani Mwanza anayejulikana kwa jina la Jembe Ulaya akitoa burudani kwa wanafunzi
Baadhi ya wanafunzi wakionyesha vipaji vyao vya kuimba na kucheza
Wanafunzi wa sekondari ya Sunrise wakiwashangalia wanafunzi wenzao jukwaani ambao wameonyesha umahiri wa vipaji vyao vya kuimba katika tamasha la Coke Studio

Msimu wa Coke studio mwaka huu ambao unajumuisha kolabo ya wanamuziki wa Tanzania na wanamuziki kutoka nje ambao umezinduliwa mapema wiki iiyopita unazidi kuleta burudani katika makundi mbalimbali ya jamii ambao wanafunzi wa sekondari wamepata fursa ya kushiriki na kuonyesha vipaji vyao vya kucheza na kuimba.
Katika matamasha yaliyofanyika mwishoni mwa wiki  katika mikoa  ya Arusha,Mbeya,Mwanza na  Dar es Salaam wanafunzi kutoka shule mbalimbali waliweza kushiriki burudani za Coke studio na kuonyesha vipaji vyao vya kuimba na kucheza na kuburudika na kinywaji cha Coca-Cola

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)