Pages

NYERERE DAY MAMBO YOTE NI NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI JIJINI MWANZA MAMIZ GRAND RESORT.

Ni mwaka wa 16 tangu Bata wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipoiaga dunia (Actoba 14,1999) ambapo hii leo Watanzania wote wanaungana pamoja kwa ajili ya kutafakari miaka hiyo 16 bila uwepo wa mwasisi wa Taifa lao.
Kwa kutambua umuhimu wa siku hii, Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani Jijini Mwanza wamekuandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mapumziko yako wewe pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zako.
R.I.P MWL.NYERERE.
Kwa wale wapenzi wa muziki wa band, burudani itadondoshwa katika Kiota cha Mamiz Gate Way iliyopo jirani kabisa na Mamiz Grand Resort Mkolani Jijini Mwanza.
Na:Binagi Media Group
Karibuni Mapokezi
Wahudumu wetu wako tayari kukupokea kwa ukarimu wa hali ya juu
Kuna pahala pa kupumzika kwa muda wakati ukisubiria huduma
Utahudumiwa kwa vinywaji vya kila aina
Wahudumu wetu wamejaaliwa ukarimu na upendo kwa wateja
Chakula bora na safi kinapatikana Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way, Mkolani Jijini Mwanza
Chakula bora na safi kinapatikana Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way, Mkolani Jijini Mwanza
Chakula bora na safi kinapatikana Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way, Mkolani Jijini Mwanza
Michezo kwa ajili ya Watoto ndani ya Mamiz Grand Resort
Nyumba safi na za Kiafrika kwa ajili ya mapumziko
Pia kuna pahala pazuri pasipo na kelele kwa ajili ya mazungumzo ya wateja wetu(V.I.P)
Vyumba safi na vya kuvutia
Vyumbani
Huku pia kuna mandhari safi na za kuvutia
Mamiz Grand Resort
Mamiz Grand Resort
Karibu tukuhudumie 0713224779

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)