News Alert: Nape Nnauye anusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali Kilwa asubuhi leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert: Nape Nnauye anusurika kifo baada ya gari lake kupata ajali Kilwa asubuhi leo


Nape apata ajali, gari yake yaanguka katika kijiji cha Njianne Wilayani Kilwa.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi NAPE MOSES NAUYE Amenusurika kifo baada ya gari yake kuacha njia na kuanguka katika eneo la Kibao cha Mkapa kijiji cha Njinne, kata ya Tingi, Tarafa ya Miteja wilaya ya Kilwa Asubuhi hii.

Bwana Nape alikuwa anatoka Dar es Salaam akielekea Jimboni ndipo alipopata ajali hiyo.

Taarifa kutoka eneo la Tukio zinasema hakuna aliyefariki, wote waliokuwemo kwenye gari wamesalimika.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages