
Wakazi wa jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala eneo la Buguruni Shule wakiwa katika foleni kwaajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wawapendao huku hali ya usalama ikiwa shwari kabisa na bila kuwa na kiashiria chochote cha uvunjifu wa amani

Zoezi la kupiga kura likiendelea katika kituo cha Buguruni Shule

Masanduku ya kupigia kura kama yanavyoonekana . Photo Courtesy by Dianna Melrose





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)