All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
Kampuni ya TTCL yakutanisha wateja wake Dar kupata mrejesho wa huduma
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza katika hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel. Tukio hili ni mwendelezo wa Wiki ya Huduma kwa wateja wa Kampuni ya simu ya TTCL iliyozinduliwa hivi karibuni.
Baadhi ya wateja, wafanyakazi wa TTCL wakibadilishana mawazo kwenye hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kupata maoni juu ya huduma wanazopatiwa na kampuni hiyo.
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akizungumza kwenye hafla hiyo iliyokutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.
Baadhi ya wateja, wafanyakazi wa TTCL wakibadilishana mawazo kwenye hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kupata maoni juu ya huduma wanazopatiwa na kampuni hiyo.
Baadhi ya wateja, wafanyakazi wa TTCL wakibadilishana mawazo kwenye hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kupata maoni juu ya huduma wanazopatiwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Kitengo cha Habari na Mausiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Thomas Mushi akizungumza kwenye hafla hiyo iliyokutanisha baadhi ya wateja na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.
Mmoja wa wateja wa TTCL akitoa maoni yake juu ya huduma zinazotolewa na kampuni hiyo kwa wateja wake.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akigonganisha glasi ya mvinyo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu na kupata maoni ya wateja wao jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa TTCL, wateja na wageni waalikwa wakibadilishana mawazo kwenye hafla fupi iliyowakutanisha baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kupata maoni juu ya huduma wanazopatiwa na kampuni hiyo.
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota (kushoto) akizungumza jambo na mmoja wa wanahabari kwenye hafla hiyo iliyokutanisha baadhi ya wateja na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.
Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja TTCL, Laibu Leonard akizungumza kwenye hafla hiyo ya baadhi ya wateja wa kampuni hiyo na maofisa wa TTCL kubadilishana uzoefu jana jijini Dar es Salaam Double Tree by Hilton Hotel.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)