Pages

Fid Q na Ben Paul washirikisha furaha zao za kushiriki Msimu wa Coke Studio kwa wapenzi wa Muziki Tanzania

 Host wa uzinduzi wa Coce Studio Msimu wa Tatu Mimi Mars akishea jambo na Wasanii wa muziki wa Kizazi kipya Faridi Kubanda almaarufu kama FId Q ambao walipata fursa ya kushiriki Coce Studio msimu uliopita.Pembeni ni Ben Paul aliyeiimba nyimgo ya Sophia Sophia.
 Msanii Ben Paul akifurahia jambo pamoja na Mimi Mars host wa Ufunguzi wa Msimu wa tatu wa Coke Studio uliofanyika katika Hoteli ya Slipway.
 Baadhi ya wadau waliojitokeza katika ufunguzi wa Msimu wa tatu wa coke studio uliofanyika katika Hotel ya Slipway hapo jana
 Badilishana mawzo na kufurahia Jambo
 Mimi Mars akifurahia jambo na wasanii pamoja na wadau wa Coke walioshiriki ufunguzi huo huku wakifurahi radha ya kinywaji cha Coca Cola ambao ndio wadhamini wakuu wa Mradi huo wa Coke Studio huku wakipewa sapoti na Kenya Airways
 Ben Paul na washikaji wakifurahia jambo na show nzima
Mabebez wakifurahia ukodak wakati wa Ufunguzi wa msimu wa tatu wa Coke Studio.

Kutoka area code 22 jijini Dar Jana, Kampuni ya Vinywaji baridi ya Coka Cola ambao ndio wadhamini wakuu wa mradi wa Coke Studio unaowashirikisha wasanii wa Afrika kukaa jukwaa moja Huku wakitoa Burudani kupitia nyimbo zao Ambapo wanaimba kwa pamoja na Kuleta radha ya nyimbo kwa wapenzi wa muziki na wasanii hao.

Coke studio ni moja ya mradi ambao umetoa fursa kwa wasanii wa Afrika kushiriki jukwaa moja na kuwafanya kutoa kolabo kwa wasanii moja ya Faida ya Coke studio ni kuwapa nafasi ya Wasanii na kutengeneza nyimbo kwa pamoja na kuleta burudani. Ufunguzi wa jana Wa Msimu wa Coke Studio Ulipelekea waliohudhuria Kufurahia radha ya kinywaji cha Coka Cola huku wakibadilishana mawazo.

Coke studio Kwa Tanzania inaonyeshwa na kituo cha Runinga Cha Clouds TV.Huku ikipewa tafu na Coca Cola na Kenyan Airway

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)