Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko huo, jijini Dar es Salaam, Septemba 4, 2015. Waziri Kabaka alizindua bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake, Bw. Emmanuel Humba
Waziri Kabaka akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi hiyo
Mwenyelkiti
wa Bodi ya Wadhamini Bw. Emmanuel Humba akipokea chati cha usajili wa Mfuko wa
Fidia kwa Wafanyakazi Kutoka kwa Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka
(Cheti cha Usajili kimetolewa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya
Hifadhi ya Jamii Nchini SSRA)

Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Humba, (katikati), akitoa hotuba yake. Kulia ni Waziri Kabaka na kushoto ni Mkurugeniz Mkuu, WCF, Masha Mshomba
Mgeni rasmi, Waziri Kabaka, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko huo, baada ya uzinduzi rasmi wa bodi
Waziri
wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka akitoa hotuba kwa Wajumbe wa Bodi ya
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pamoja na wageni waalikwa kabla ya
kuzindua Bodi hiyo Rasmi.
wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudentia Kabaka akitoa hotuba kwa Wajumbe wa Bodi ya
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pamoja na wageni waalikwa kabla ya
kuzindua Bodi hiyo Rasmi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)