Pages

WAZINBWABWE WAJIFUNZA TUMBAKU TANZANIA


Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya


mafunzo Mjini  Morogoro.

Meneja Uhusiano wa Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw. Mazehiew Folleto (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini


  Morogoro.

Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akiwaongoza wageni kutoka Bodi ya Tumbaku na Masoko ya Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.

Meneja Mapokezi wa Tumbaku kwenye Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Nico Zambetakis akifafanua jambo kwa  wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)