SAFARI ZA MO LEMON MINT SODA YAVUKA MIPAKA YAFIKA MJI WA SANTORINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SAFARI ZA MO LEMON MINT SODA YAVUKA MIPAKA YAFIKA MJI WA SANTORINI

lemon
Mo Lemon Mint imefika hadi Santorini, Greece! Umeifikisha wapi Mo soda yako kutoka hapo Dar? Tutumie picha yako 'smile emoticon' ikichaguliwa tutaiweka kwenye ukurasa wetu wa facebook.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Kampuni ya  Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL GROUP), imeendelea kufanya vizuri sokoni kupitia upande wa vinywaji vyake  mbalimbali vikiwemo: MO Cola,  MO Portello na, MO Malt, MO Lemon Mint, MO chungwa na MO Bomba (Energy drink).
Kupitia ukurasa wa Facebook wa MeTL GROUP, (https://www.facebook.com/MeTLGroup) wamebainisha kuwa  kampuni hiyo yenye kauli mbiu ya ‘The People’s  Brand’, imeendelea kuwa karibu na wateja wao ilikuweza kushirikisha mawazo mbalimbali katika kufikia malengo ya kimaisha.
Mbali na kushirikishana mawazo hayo na wateja wao waliopo kwenye ukurusa huo maalum wa facebook, pia imeweza kutoa elimu na namna ya hatua za kufuatwa kwa watu ikiwemo mazoezi, vyakula vinavyofaa kuliwa na mambo mengine.
Pia kupitia ukurasa huo wa facebook,  wateja wameombwa kutuma picha zao wakiwa na vinywaji kutoka MeTL GROUP, ikiwemo MO Bomba, MO Cola, MO Lemon Mint, MO Portello, Mo Embe, MO Chungwa  nakisha kutuma katika ukurasa huo na 'Ku-SHARE'.  Huku wakitakiwa kupiga picha na kinywaji hicho na kueleza mahala walipo!
mo caHuwezi kujua ukiwezacho mpaka umejaribu ‪#‎UsikateTamaa‬
Ndoto yako ni nini..Ndoto yako ni nini?
mo boa
mmo
 
Vitu vya kuzingatia na kuchukua unapoenda kufanya mazoezi ya viungo...mpango mzima na MO Bomba iwepo kukuongezea nguvu na kukuweka na nguvu zaidi..
 pote
 Mchezaji bora wa Basketball MICHAEL JORDAN hakuchaguliwa kwenye timu ya basketball kwenye shule yake ya Sekondari kwasababu alikuwa mfupi kuliko wenzake. ‪#‎UsikateTamaa‬

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages