Pages

Moto wateketeza fremu mbili za biashara muda huu eneo la Tabata Muslim...

 Askari wa kikosi cha zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto huo ulioteketeza fremu mbili katika eneo la Tabata Muslim Muda huu huku kukiwa hakuna kilichonusurika katika fremu hizo zilizoteketea kwa moto
 Baadhi ya wakazi wa Tabata muslim wakishuhudia askari wa zimamoto wakizima moto huo muda huu.
 Askari wa zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto huo katika eneo la Tabata Muslim muda huu
 Sehemu za fremu hizo zilizoteketea kwa moto muda huu katika eneo la Tabata Muslim
 Askari wa zimammoto akiendelea na kuzima moto katika fremu za jirani ambazo zilianza kushika moto
 Sehemu za fremu zilizoteketea kwa moto huku askari wa kikosi cha zimamoto wakiendelea kuzima moto katika fremu za jirani ambazo nazo zilianza kushika moto na kufanikiwa kuzizima bila kuleta madhara kwa fremu za jirani
 Sehemu ya fremu zilizoteketea kwa moto muda huu katika eneo la Tabata Muslim jijini Dar Es Salaam
 Wakazi wa Tabata Muslim na vitongoji vyake wakishuhudia tukio hilo
 Wakazi wakiendelea kushuhudia
Magari la Kikosi cha zimamoto yakiwa tayari yamewasili na kuanza zoezi la kuzima moto huo uliotokea katika fremu mbili za biashara katika eneo la Tabata Muslim Muda huu huku fremu za za jirani zikinusurika kuteketea mara baada ya kikosi cha zimamoto kufanikiwa kuzizima.Picha zote na Josephat Lukaza 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)