KAMPENI ZA DK MAGUFULI ZATUA MJI MDOGO WA KATORO,GEITA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMPENI ZA DK MAGUFULI ZATUA MJI MDOGO WA KATORO,GEITA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Mji Mdogo wa Katoro, Jimbo la Busanda mkoani Geita leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano huo uliofanyika Mji Mdogo wa Katoro Geita.

 Dk Kinana akihutubia na kuomba wananchi wampigie kura katika Mji wa Runzewe Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita leo

 Wengine ilibidi wawe juu ya kuta ili wapate kumona Dk Magufuli wakati wa kampeni katika mji wa Runzewe, Bukombe, Geita

 Umati wa watu katika mkutano wa kampeni Runzewe

 Dk Magufuli akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia katika miji ya Buselesele na Katoro

 Msafara ukiingia katika mkutano wa kampeni katika Mji wa KATORO,

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Musukuma akihutubia kabla ya kumkaribisha Dk Magufuli mjini Katoro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages