Pages

Mwanza yatapika, Shikamoo Lowassa.

Umati wa wakazi wa jiji la Mwanza wakiwa katika mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya Mwamvuli wa Ukawa Mh Edward Lowassa unaofanyika katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza sahivi
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)