Vijana ambao majina yao hayakufahamika kwa haraka wakiwa wanapiga deki barabara kwaajili ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema kwa mwamvuli wa Ukawa Mh Lowassa kupita hapo akitokea uwanja wa ndege wa Mwanza wakati akielekea kwenye mkutano wa kutambulishwa kwake uliofanyika katika Viwanja vya Furahisha mapema leo.Picha na Mpiga Picha wetu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)