Pages

Muonekano wa Jiji la Nairobi Kutokea Juu ya Jengo la KICC Nairobi Kenya

Hili ni jengo la Mikutano la KICC lililopo Jijini Nairobi Nchini Kenya jengo hili ndio linaloitambulisha Kenya Popote pale Duniani na pindi picha ya jengo hili linapoonekana mahali basi moja kwa moja Wengi waliowahi kufika Kenya watakwambia Kuwa hilo jengo lipo Kenya.Lukaza Blog ilipata nafasi ya kupanad hadi Juu kabisa ya Jengo hilo na kupata taswira mbili tatu ambazo nimekuwekea hapo chini.
 
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)