Pages

Dk Shule - Tanzania kuwa mfano wa kuigwa katika kukuza tasnia ya filamu Afrika Mashariki

Dr Vicensia Shule kutoka Chuo kikuu cha Dar Es Salaam akielezea sera na mpango kazi wa kuinua na kutangaza utamaduni wa nchi za Afrika Mashariki kupitia tasnia ya filamu katika mkutano wa wadau wa maswala ya utamaduni uliofanyika katika Maonyesho ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Utamaduni Festival (JAMAFEST) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta, jijini Nairobi Nchini Kenya.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)