Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokea Michango ya wanafunzi waliojitokeza Kumchangia Mbunge huyu ili achukue Fomu ya Kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo Kupitia Chama cha Mapinduzi Mara Baada ya Kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya Mammbo mengi ya Maendeleo Ikiwemo Kuwalipia Ada zaidi ya wanafunzi 500 Wasiokuwa na uwezo wa Kujilipia ada na wanaoishi Katika Mazingira Magumu
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akipokea Kiasi cha Shilingi 50000/= kutoka Kikundi cha Tushikamane Kata ya Kilakala kwa lengo la kumtaka mbunge huyo achukue fomu ya Kugombea Tena Ubunge wa Jimbo Morogoro Mjini .Wanachama wa Kikundi hicho wamesema wamesukumwa kufanya hivyo Mara baada ya kurishishwa namna Mbunge huyo anavyovisaidia vikundi nvya wajasiriamali wa Jimbo hilo.Hadi sasa Makundi Mbalimbali na wananchi Binafsi wamejitokeza Kumchangia na Kumshawishi Mbunge huyo kuchukua fomu na kugombea tena awamu nyingine ya ubunge wa jimbo holo..
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)