Pages

TTCL YASHINDA NAFASI YA KWANZA KATIKA SEKTA YA HABARI NA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara.Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya TTCL (kulia) akitoa maelezo kwa mteja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya TTCL (kulia) akitoa maelezo kwa mteja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam.Eneo la mapokezi ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa sehemu hii inaonesha tuzo mbalimbali ambazo kampuni imejishindia kutokana na huduma inazotoa. Eneo la mapokezi ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa sehemu hii inaonesha tuzo mbalimbali ambazo kampuni imejishindia kutokana na huduma inazotoa.Baadhi ya wateja wakipatiwa huduma ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wateja wakipatiwa huduma ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam.
IMG_0516Kulia ni baadhi ya wateja wakipatiwa huduma mbalimbali ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni baadhi ya wateja wakipatiwa huduma mbalimbali ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam.Wafanyakaziwa wa Kampuni ya TTCL wakifurahia ushindi nje ya banda lao na kupata picha ya pamoja. Wafanyakaziwa wa Kampuni ya TTCL wakifurahia ushindi nje ya banda lao na kupata picha ya pamoja.Wafanyakaziwa wa Kampuni ya TTCL katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa, Sabasaba. Wafanyakaziwa wa Kampuni ya TTCL katika picha ya pamoja nje ya banda lao kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa, Sabasaba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)