Pages

SHAMRASHAMRA ZA MANUNUZI YA BIDHAA KATIKA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO YA SABASABA


IMG_6798
Ofisa Mtendaji wa Masoko wa Kampuni ya bima ya MO (MO ASSURANCE), Tawheeda Isaack, akisikiliza maoni kutoka kwa mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la Kampuni ya MO Assurance lililopo ndani ya banda la MeTL Group katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
IMG_7151
Meneja mwendeshaji wa Kampuni ya bima ya MO, (MO ASSURANCE),  Ravinshankar Venkatrama (kulia) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL Group, Hussein Dewji alipotembelea banda la MO Assurance kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kutimu vumbi jijini Dar.
IMG_7148
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL Group, Hussein Dewji, akipata maelezo kutoka kwa kijana anayetoa huduma kwenye bidhaa za Sundries zinazotengenezwa na kampuni ya MeTL Group. Kulia ni msimamizi wa duka la bidhaa za Sundries, Sandeep Gaur alipotembelea maonyesho ya Sabasaba.
IMG_7157
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL Group, Hussein Dewji, akisalimiana Meneja wa LG tawi la Nkurumah, Bw. Yasin Lodhi (wa pili kulia) alipowasili kwenye banda la bidhaa za LG ambapo kampuni ya Mohammed Enterprises Limited Tanzania (MeTL) ndio msambazaji rasmi wa bidhaa hizo nchini.
IMG_7078
Mfanyakazi wa kampuni ya 21st Century Textiles Ltd, Hidaya Kapera akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea banda hilo linalouza vitenge vya aina mbali mbali kutoka kampuni za Afritex Ltd, Musoma Textiles Ltd na Novatexmoque ambazo zote ziko chini ya MeTL GROUP.
IMG_7074
IMG_7081
Mfanyakazi wa kampuni ya 21st Century Textiles Ltd, Regina Waitara, akielezea ubora wa vitenge na mashuka yanayozalishwa na kampuni hiyo kwa mmoja wa wateja aliyetembelea banda hilo.
IMG_6821
Balozi wa bidhaa za LG, Albert Laurent akitoa maelezo ya bidhaa za LG ambazo zipo katika punguzo la bei la 15% katika msimu huu wa  maonyesho ya Sabasaba na mwezi mzima wa Ramadhan kwa wateja waliotembelea banda hilo ndani ya viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere.
IMG_6841
Wananchi wakijipatia huduma ya vinywaji baridi vya MO vikiwemo MO Cola, MO Portello, MO Embe, MO Chungwa sambamba na kinywaji cha MO BOMBA kinachokuburudisha na kukupa nguvu wakati wote.
IMG_7071
Wateja wakiwa wamefurika kujipatia bidhaa za sabuni katika banda la bidhaa za kampuni ya Royal Soap & Detergent Industries Limited lililopo ndani ya banda la MeTL Group.
IMG_7082
Mfanyakazi wa kampuni ya Royal Soap & Detergent Industries Limited, Saumu Hamza, akionyesha bidhaa tofauti za sabuni za unga zinazopatikana katika banda hilo.
IMG_7084
Wateja wakifurahia sabuni za wa kampuni ya Royal Soap & Detergent Industries Limited.
IMG_7086
Wafanyakazi wa kampuni ya Sundries chini ya MeTL Group, Shomu Bhergava (kushoto) na Sandeep Gaur (kulia) wakitoa maelezo kwa mteja alitembelea banda lao katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere, barabara Kilwa, jijini Dar es Salaam.
IMG_6897
Balozi wa bidhaa za LG, Balbina Gabriel akimwonyesha mteja bidhaa ya Microwave ya kampuni ya LG aliyetembelea katika banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
IMG_7066

Mdhibiti ubora idara ya sabuni za kampuni ya MeTL GROUP, Cuthbert Sangiwa Msuya akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi juu ya ubora wa mafuta ya kulainisha ngozi (Lotion) inayoyazilishwa na kampuni hiyo.
IMG_7063
IMG_7271
Wafanyakazi wa duka la vifaa vya LG lililopo ndani ya banda la MeTL Group katika picha ya pamoja na Msimamizi wa banda hilo Sakina Alloo (aliyepiga magoti).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)