Pages

SAFARI YA KUJIMBULISHA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI KUTOKA CHATO MPAKA DODOMA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha  Mgombea Urais wa  chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  awasalimie  wananchi,awashukuru na kujitambulisha kwa wananchi hao waliokuwa  wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.
  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akiwasalimia  wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni  mkoa wa Singida. 
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli(kulia) akisalimiana na  aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini Dk. Hamisi Kigwangala
 Hussein Bashe ambaye ametia nia ya kugombea ubunge jimbo la Nzega Mjini  akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli  mjini Nzega. 
 Wananchi wa Nzega wakishangilia mara baada ya kumisikiliza  Mgombea Urais wa  chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  alipomaliza kuwasalimia  na kuwashukuru kwa namna walivyojitokeza kumtia moyo,nje ya  za CCM  Nzega
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Nzega kwenye mkutano uliofanyika nje ya ofisi ya CCM wilayani hapo, ambapo  aliwaambia Wananchi kuwa amefarijika na mapokezi mazuri na amewaahidi  kurudi tena wakati wa kampeni zitakapoanza..
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya  wageni Ofisi za CCM ndani ya mji wa Manyoni  mkoani Singida alipokuwa akipita  kuwashukuru Wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kujitambulisha kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea jijini Dar kwa njia ya barabara.
 Wananchi wa Igunga wakiwa na Bango lao wakimkaribisha Mgombea wa Urais kupitia  CCM Dk.John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili maeneno hayo kuwashukuru  na kujitambulisha kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea  jijini Dar kwa njia ya barabara.
Wananchi
wa Ikungi wakiwa wamelizunguka gari la Mgombea Urais wa chama cha
Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli na kufunga barabara wakimtaka
awasalimie tu ndipo aendelee na safari yake.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiondoka nzega huku  shangwe zikiwa zimetawala kutoka kwa mashabiki mara baada ya kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea na kujitambulisha kwao akiwa anatokea jimboni kwake Chato akirejea jijini Dar kwa njia ya barabara
 Wananchi wa Igunga wakimshangila  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe  Magufuli mara baada ya kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi kumpokea,na  pia alijitambulisha kwao.Dkt Magufuli aliwaeleza wananchi hao kuwa ana  mambo ya kuwaambia lakini kwa sasa anapita kujitambulisha kwao,kwa  sababu wakati wa kampeni bado haujafika,lakini ukifika basi atarejea  tena kuzungumna nao kinagaubaga. 
 Wananchi wa Ikungi wakishangilia kwa ujio wa Mgombea Urais wa chama cha  Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli na kufunga barabara wakimtaka  awasalimie tu ndipo aendelee na safari yake.
 Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akiwasalimia  wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM mkoa wa  Singida.
  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akiwasalimia  wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM mkoa wa  Singida. 
Wananchi wa Singida na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika nje ya ofisi za CCM  mkoa wa Singida,wakitaka kumuona na kumpongeza  Mgombea Urais wa chama  cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa mgombea  Uraisi wa CCM na pia kumuombea na kumtakia kila lakheri katika safari  yake hiyo ya kugombea nafasi ya Uraisi
  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akiwashukuru  Wananchi wa Singida mjini kwa kujitokeza kwa wingi kumlaki,walipokuwa  wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM mkoani humo.
 Mh
Mwigulu Nchemba akishangilia jambo mara baada ya kumsikiliza  Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli alipokuwa
akiwasalimia wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za
CCM mkoa wa Singida.
 Mgombea
Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akisalimiana
na mmoja wa makada wa CCM nje ya ofisi za CCM njini Manyoni Mkoani
Singida,mara baada kuwasalimia,kuwashukuru Wananchi waliojitokeza
kumpokea na pia alipata nafasi ya kujitambulisha kwa wananchi hao.



No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)