Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015
Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge
Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni
Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge
Rais Kikwete akiingia bungeni
Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao
Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia
Waheshimiwa wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
Rais Kikwete akihutubia
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete
Sehemu ya wabunge
Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba
Sehemu ya wabunge
Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali
Sehemu ya Mabalozi
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete
Jaji Mkuu na ujumbe wake
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa vikosi vya ulinzi na usalama na wageni waalikwa
Wabunge
Rais wa Zanzibar Dkt. Shein, Makamu wa Rais Dkt Bilali, Naibu Spika Mhe Ndugai na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu wakifuatilia hotuba
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Mmoja wa wabunge Mhe. Riziki Saidi Ruliga, akifuatilia hotuba kwa makini
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Sehemu ya wabunge
Jaji Mkuu na ujumbe wake wakifuatilia hotuba kwa makini
Ukumbi umetulia kusikiliza hotuba ya Rais Kikwete
Wabunge wakisikiliza hotuba
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Wabunge
Spika Makinda akitoa neno la shukrani baada ya Rais Kikwete kumaliza hotuba yake
Rais Kikwete akitoka katika ukumbi wa bunge baada ya hotuba yake
Makamu wa Rais Dkt. Bilali akitoka bungeni
Rais wa Zanzibar akitoka bungeni
Jaji Mkuu akitoka bungeni
Rais Kikwete akisindikizwa kutoka nje baada ya kuhutubia
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akisalimiana na wabunge
Rais Kikwete akipongezwa na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Picha ya pamoja
Rais Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Mkapa
Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na marais wastaafu
Picha ya pamoja na marais wastaafu na viongozi wa juu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Picha ya pamoja na marais wastaafu, viongozi wa juu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge
Rais Kikwete na viongozi wengine na wabunge wakielekea kufuturu
Rais Kikwete, Spika Makinda, Naibu Spika Job Ndugai na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Lediana Mung'ong'o
Rais Kikwete na waandaaji wa hafla ya futari
Rais Kikwete akiwa na wasanii waliokuwepo kutumbuiza
Rais Kikwete na mabalozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)