Pages

News Alert:Mh Lowasa awasili makao makuu ya chadema kwaajili ya kuchukua Fomu ya Urais

Mh Edward Lowasa akipokewa kwa shangwe na vigeregere wakati alipowasili muda si mrefu katika Makao Makuu ya Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kwaajili ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chadema na Ukawa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu ujao October 2015.
 Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiwa makao makuu ya chama hiko kinondoni Jijini Dar es Salaam wakisubiri kumpokea Mh Edward Lowasa wakati anapokwenda kuchukua fomu ya kupeperusha bendera ya chadema katika kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu ujao october
 Wanachama na wapenzi wa Chadema wakiwa makao makuu ya chama hiko kumpokea Lowasa



No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)