Pages

News Alert: Treni ya Deluxe iliyokuwa inatoka kigoma kuja Dar imepata ajali


Treni ya abiria ya Deluxe iliyokuwa safarini kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam imepata ajali hivi punde katika stesheni ya Kikombo mara baada ya mabehewa kuacha njia taarifa zinasema hakuna aliyepoteza maisha

Taarifa zaidi tutawajuza kadri tunavyozipata

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)