Pages

News Alert: Fununu hawa ndio waliofanikiwa kuingia 5 bora ya CCM


Taarifa kutoka katika ukurasa wa twitter wa CCM umeandika majina matano ya watia nia ya kutaka kuwania kiti cha urais kupitia CCM na Majina hayo ni kama yanavyoonekana katika picha hapo huku hali ikiwa bado si hali kutokana na taarifa nyingi kuzagaa lakini tunaendelea na jitihada za kutaka kujihakikishia kuwa ni kweli majina ndio hayo na uhalali wa ukurasa huu je ni wa kweli?

Endelea kukaa nasi hapa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)