All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
MABADILIKO YA UANDIKISHAJI MKOA WA DAR ES SALAAM
#BVRDAR: Tume ya uchaguzi NEC imetangaza kusogeza mbele uboreshaji wa Daftari la wapiga kura lililokuwa limetazamiwa kuanza tarehe 16 Julai sasa litaanza tarehe 22 hadi 31 ya mwezi huu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)