NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA NHC - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA NHC

Naibu Katibu mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akiingia katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna kituo cha huduma kwa wateja kinavyofanya kazi kutoka kwa Afisa wa kitengo cha Huduma kwa Wateja, Theresia Muhondo katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna Shirika linavyofanya kazi kutoka kwa Afisa Mauzo, Vicent Ngaile katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa. Anayeshuhudia ni Wilson Sanane.
Afisa wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba, Edith Nguruwe akimkaribisha Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.
Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna Shirika linavyofanya kazi kutoka kwa Afisa Mauzo, Vicent Ngaile katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa. Anayeshuhudia ni Wilson Sanane.
Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna Shirika linavyofanya kazi kutoka kwa Afisa Mauzo, Vicent Ngaile katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa. Anayeshuhudia ni Wilson Sanane.
Afisa Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Umati wa watu waliofika kwenye maonyesho ya Sabasaba wakiwa mbele ya Banda la Maonyesho la Shirka la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo langoni kuu la kuingilia kushoto kama unaingia Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea.

Umati wa watu wanaoingia na kutoka kwenye maonyesho ya Sabasaba Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 yanayoendelea.

Watu waliofika kwenye maonyesho ya Sabasaba wakiwa ndani ya Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

Watu waliofika kwenye maonyesho ya Sabasaba wakiwa ndani ya Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakipata maelezo ya namna Shirika la Nyumba la Taifa linavyofanya kazi zake.

Wateja waliofika kwenye maonyesho ya Sabasaba wakiwa ndani ya Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakipata maelezo ya namna Shirika la Nyumba la Taifa linavyofanya kazi zake.

Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Rhobi Wambura akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Michael Mbago wa NHC akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Rhobi Wambura akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Wateja waliofika kwenye maonyesho ya Sabasaba wakiwa ndani ya Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakipata maelezo ya namna Shirika la Nyumba la Taifa linavyofanya kazi zake.

Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Rhobi Wambura akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Wateja waliofika kwenye maonyesho ya Sabasaba wakiwa ndani ya Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakipata maelezo ya namna Shirika la Nyumba la Taifa linavyofanya kazi zake.

Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Joseph Haule akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika hilo lililopo ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa.

Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Vincent Ngaile akitoa maelekezo kwa wateja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages