Kwa taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mbunge Wa Arumeru Mashariki ndugu Joshua Nasary amepata ajali leo jioni akiwa maeneo ya Leguruki.
Kwa taarifa za mwanzo zinasemekana mbunge huyo amenusurika na amepata majeraha madogo lakini mmoja Wa abiria wake kavunjika mguu.
Mbunge amekimbizwa katika Hosptali ya Selian na kwa mujibu wa Katibu wa mbunge hajaumia sana ila abiria wawili mmoja anajulikana kwa jina la Eve ambaye ni mmoja wa viongozi wa BAWACHA jimboni kaumia mbavu na mwingine kavunjika mguu.
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)