
Waislamu wote dunia nzima wanatarajia
kusheherekea siku kuu hii ya Eid Al Fitr baada ya kufunga kwa muda wa mwezi
mzima katika kipindi cha mwezi mtufu. Ingawa tarehe rasmi ya sherehe huwa
inategemeana na mwezi kuandama, lakini pia inatarajiwa siku kuu hii huenda
ikawa ndani ya wiki ya 29 kwa kalenda ya kawaida ya mwaka, ambapo ni mwishoni
mwa wiki hii.
Ni Muhimu ndani ya siku kuu hii mtu
kutoa zawadi au kusaidia maskini wasiojiweza kabla ya kuelekea kwenye sala ya
Eid Ul Fitr, misaada hii ni nje ya Zakhath na Sadqa ambayo huwa inatolewa
katika kipidi cha mwezi mtukufu, sadaqah hizi kwa jina lingine unaweza kuziita
sadaqah al fitr, hii ni kuhakikisha kuwa kila mmoja hata masikini wawe na uwezo
wa kusheherekea siku kuu ya Eid.
Hata hivyo, baadhi ya watu
hupenda kusheherekea kwa namna tofauti, watu wengi duniani hutembelea sehemu za
kitalii, ndani na nje ya nchi. Kwa
baadhi ya maeneo ambayo yatakuwa ni muhimu kwako kutembela katika kipindi hiki
cha Eid Al Fitr, hakikisha ni maeneo mazuri kwa utalii na yasiyo na gharama kwa
matumizi ya Kifamilia au mtu binafsi
JovagoTanzania, inapendelea kutoa muongozo
kwa baadhi ya sehemu muhimu hapa Tanzania, sehemu hizi unaweza ukafika na
kupata mahala kwa kujiwekeza na familia yako kwa kipindi kizima cha Eid, kwa
kuingiza namba za siri “JOVAGOTZ15”, utakuwa na uwezo wa kupata punguzo za bei
za mahotelini mpaka 53% ndani ya Jovago.com. Hotel hizi tano muhimu zipo Katika sehemu muhimu zifuatazo;
ZANZIBAR,

Ni sehemu ambayo watu
wengi kutoka ndani na nje ya nchi hupendelea kufika, kutokana na amani ya eneo
husika na vivutio vya utalii kama makumbusho ya taifa, pamoja na hifadhi za
taifa. Mashariki Palace hotel ni moja kati ya hotel muhimu kufikia ambapo JovagoTanzania imeweka
punguzo la 35% na Park Hyatt itakayo kuwa na punguzo la 50%,
ARUSHA

Mji huu una vivutio vingi vya utalii, ikiwemo
hifadhi ya taifa ya Tarangire, Crater, hifadhi za milima ya Ol Doinyo Lengai,
pamoja na makumbusho ya taifa. Utaweza kupata mahala pa kujiwekeza katika hoteli ya “The New Arusha “
MWANZA;

Ni mji wa kupumzika na mahala pa utulivu wa hali
ya juu, wengine wanakuita rockcity
kutokana na vivutio vya miamba mingi, New Mwanza Hotel ni sehemu nzuri ya kufika kwa
usalama, na itakuwa na punguzo la bei mpaka
53%.
DAR ES
SALAAM;

Sehemu
ya jiji ambalo wengi hupendelea kufikia iwapo kutakuwa na mipango ya kufanya
utalii katika makumbusho ya taifa au starehe za siku kuu ya Eid, ni mji wenyewe
sehemu nyingi za starehe na Jovago “Green Light hotel” ni sehemu pa kujiwekeza na mahala penye usalaa iwapo utafikia jijini
Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)