Pages

WanaCCM 78, 500 wa Mkowa wa Pwani wamdhamini Mh. Lowassa, apata Baraka za Viongozi wa Dini

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Pwani, leo Juni 28, 2015, kabla ya kuelekea kwenye Ofisi CCM Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani. Kushoto ni Mkewe Mama Regina Lowassa.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mdau Bashir Awale, nje ya Ofisi za CCM Mkoa wa Pwani, leo Juni 28, 2015, kabla ya kuelekea kwenye Ofisi CCM Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungua mkono WanaCCM wa Mji wa Kibaha Mjini wakati alipofika kwenye Ofisi za CCM kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.


Katibu wa CCM Wilaya ya Temeke, Abdallah Mdimu akikabidhi fomu yenye orodha ya majina ya Wadhamini kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa leo Juni 28, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wa Mkoa wa Pwani Wamemdhamini Mh. Lowassa ili apate ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Vijana wa Kikundi cha Ngoma za Utamaduni wakitoa burudani nje ya Ofisi ya CCM Kibaha Mjini.
Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Mh. Silyvestry Koka akizungumza machache na wanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini wakati wa zoezi fupi la kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Kushoto ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kibaha Mjini, Ndg. Abdallah Mdimu. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.

Taswira mbalimbali za WanaCCM wa Mji wa Kibaha Mjini na maeneo ya jirani katika zoezi la kupokea orodha ya majini ya WanaCCM waliomdamini Mh. Edward Lowassa.
Askofu mstaafu wa Kanisa kuu la KKKT Dayosisi ya Dodoma, Peter Lukumbusho Mwamasika akimuombea Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, wakati alipofika kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhamini kugombea Urais wa Tanzania, leo Juni 28, 2015.
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini,  leo Juni 28, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani,Ndg. Mwinshehe Shaban Mlawa akiwasalimia WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini, kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, kutoa shukrani zake kwa WanaCCM waliomdhamini ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Neno linafika mahala pake, lazima kicheko kianguke.
Mpiga Picha, Khalfan Said akiitafuta taswira ya uhakika.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na kuwashukuru wanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini waliomdhamini ili apate ridhaa ya Chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini, leo Juni 28, 2015.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa Mama ambaye ni mlemavu wa miguu (jina lake halifahamika kwa haraka) wakati alipofika kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mlandizi Mkoani Pwani leo Juni 28, 2015.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisamiliana na Wazee wa Mji wa Kibaha Vijijini.



WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Vijijini wakimshangilia Mh. Lowassa.
Mh. Lowassa akisalimiana na mmoja wa WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Vijiji wakati alipofika kuwasalimia na kuwashukuru kwa kumdhamini ili apate ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.


Sehemu ya Masheikh wa Mji wa Bagamoyo Mkoani Pwani wakiwa hadhara hiyo.


WanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani, wakifatilia kwa makini salamu za Mh. Lowassa.
Kila Mmoja yuko tayari kuingia kwenye meli ya "Safari ya Matumaini"
Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM kutoka Zanzibar, Mzee BoraAfya akiwapa neno WanaCCM wa Mkoa wa Pwani waliokuwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa CCM Wilaya Bagamoyo, leo Juni 28, 2015.
Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM Tanzania, Mzee Mgana Msindai akatoa neno WanaCCM wa Mkoa wa Pwani waliokuwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa CCM Wilaya Bagamoyo, leo Juni 28, 2015.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akizungumza jambo mbele ya umati wa WanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani , leo Juni 28, 2015.





Sheikh kutoka Wilaya Bagamoyo, Sheikh Hassan Kilemba akizungumza machache.
Umati wa WanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza jambo na Shariff wa Bagamoyo, leo Juni 28, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani zake kwa wanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani kwa kumdhamini.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwaralimia Watoto, Aisha (12) na Sikuzani (4) waliomfata kumsalimia.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)