DR Mdahoma akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Msaada wa Komputer kwa Ajili ya kuwekea Kumbukumbu katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya mazsons shangani Zanzibar.
Naibu Katibu Mku Wazara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum akitowa shukrani kwa msaada huo wa Seti za Kumputer uliotolewa na THPS kwa ajili ya Vituo vya Afya Vinane vya Unguja na Pemba ili kuweza kutunza kumbukumbu zao za kila siku.
Madaktari wa Vitengo Shirikishi katika Vituo vya Afya Unguja na Pemba wakishuhudia ukabidhiwaji wa misaada ya Styei za Komputer kwa Vituo hivyo kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao wakiwa katika bustani ya hoteli ya Mzsons shangani Zanzibar wakati wa makabidhiano kabla ya kuaza kwa mkutano wa kutathimini uwekaji wa kumbukumbu. uliofanyika katika hoteli hiyo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Ndg Halima Maulid Salum, akimkabidhi seti
ya Komputer Ndg Faiza Abass kwa ajili ya Kitengo
Shirikishi Pemba, kwa ajili ya kuwekea kumbukumbu ya wagonjwa
wanaoripotiwa kupitia Kitengo hicho, Vifaa hivyo vimetolewa na Taasisi ya
Tanzania Helth Promotion Support , makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja
vya hoteli ya Maszosns shangani Zanzibar
anayeshuhudia katikati Mkurugenzi Mtendaji wa THPS Dr. Redempta Mbatia

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Mnazi Mmmoja Ndg John Maida, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Pemba Ndg, Badran Sultani Issa, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Unguja, Ndg Ahmed Hani Mohammed, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao Shirikishi , msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum, akimkabidhi Seti ya Komputer Daktari wa Kituo cha Afya Chakechake Pemba Bi Mgeni Seif, kwa ajili ya kutunzia Kumbukumbu katika Kituo chao, msaada huo wa Kumputer umetolewa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya THPS,Komputer hizo zimekabidhiwa kwa Vituo vinane Unguja na Pemba makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya Mazsons Shandani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia, akizungumza wakati wa mkutano huo na kutowa maelezo ya THPS, jinsi nanavyofanya kazi zake.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Ndg Halima Maulid Salum, akifungua mkutano
wa siku moja kwa Madaktari wa Vitengo vya Shirikishi vya Ukimwi, Ukoma na Kifua Kikuu, kutunza data katika Vituo vyao iliowajumuisha Madaktari kutoka Vituo 8 vya Unguja na Pemba , ulioandaliwa na Taasisi
ya Tanzania Helth Promotion Surppot , yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Mazsons shangani Zanzibar, kulia Mkurugenzi
Mtendaji wa THPS, Dr.Redempta Mbatia

Washiriki wa warsha ya siku moja kutathimi mafanikio ya Utunzaji wa Data katika Vituo vya Afya Shirikishi vya Unguja na Pemba, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid Salum akifungua warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
Ofisa wa THPS Zanzibar akifuatilia warsha hiyo ya Madaktari wa Vituo vya Afya Kitengo Shirikishi wakati wa mkutano huo wa siku moja kutathimini mafanikio ya Utunzaji, uliofanyika hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar.
Washiriki wa warsha ya siku moja kutathimi mafanikio ya Utunzaji wa Data katika Vituo vya Afya Shirikishi vya Unguja na Pemba, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid Salum akifungua warsha hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)