BARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM

Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo.
Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji Huduma za Usafiri wa anga (TCAA-CCC), Hamza Johari akizungumza jambo wakati wa mahojiano na waandishi wa habari waliotembelea banda hilo.
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji Huduma za Usafiri wa anga (TCAA-CCC), Hamza Johari akiwa katika mahojiano na waandishi wa habari wa Magazeti ya serikali(Daily News na Habarileo) waliotembelea banda hilo Dar es Salaam jana.
 Debora Mligo na Aziza Tamim wa TCAA-CCC wakiwasikiliza wageni waliotembelea banda hilo.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA)
Charles Chacha  akisaini kitabu cha
wageni wakati alipotembelea banda la Baraza la Ushauri la watumiaji Huduma za
Usafiri wa anga (TCAA-CCC) liliopo kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa
Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Kutoka
kushoto   ni  Katibu Mtendaji wa Baraza Hamza Johari
,waelimishaji na wahamasishaji  wa baraza
hilo Debora Mligo na Athuman Bakari.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka
ya Usafiri wa Anga (TCAA) Charles Chacha 
(mwenye suti)  katikati akiwa
katika picha na  ya Pamoja na wafanyakazi
wa Baraza la Ushauri la watumiaji Huduma za Usafiri wa anga (TCAA-CCC)wakati alipotembelea
kwenye banda lhilo  kwenye maadhimisho ya
Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages