Pages

ACT Wazalendo ndani ya tabora

 Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)