Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam asubuhi ya leo kusimamia usalama kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao
Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam katika mgomo wa madereva leo Hadi muda huu hakuna basi lililoanza safari kutokea kituoni hapo.
Kituo cha Daladala cha Mbagala Rangi Tatu kikiwa kimefurika abiria kufuatia mgomo unaoendelea.Crdt Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)