Guardiola aapa kuinyamazisha Barcelona - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Guardiola aapa kuinyamazisha Barcelona

Kocha wa Bayern Munich
Bayern Munich imesema kuwa itang'ang'ana hadi dakika ya mwisho kubadilsha matokeo ya 3-0 dhidi ya Barcelona wakati timu hizo zitakapokutana leo.
Mabingwa hao wa Ujreumani walishindwa 3-1 dhidi ya Porto katika mechi ya robo fainali kabla ya kubadilisha matokeo hayo na kuwa 6-1.
Barcelona vs Bayern
Mkufunzi wa Bayern Pep Guardiola ambaye alikuwa akiifunza Barcelona amesema:''Njia ya pekee itakayotuhakikishia tumeingia fainali ni kucheza zaidi ya Barcelona na kufanya vile tulivyofanya dhidi ya Porto.''Mpango wetu ni kujaribu hadi mwisho''.
Guardiola na Enrique wa Barcelona
Mabingwa hao wa Ujreumani wanacheza bila Franck Ribery na Arjen Robben.bbc swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages