Pambano hili limepelekea Dunia kusimama na hata kwa wale ambao sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na pambano hili lililopelekea Maywether kushinda kwa point.
Pambano hili limemalizika kwa Mshindi kushinda kwa point huku pambano likienda round 12,
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)