Tusipokuwa makini barabarani tutakwisha... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Tusipokuwa makini barabarani tutakwisha...

 Lori la mafuta likiwa limegongana na lori lingine na kupelekea lori moja kuacha njia na kwenda pembeni ya barabara ya Morogoro Dar ajali hiyo imetokea juzi tarehe 25 April 2015. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha
Lori likiwa nje ya barabara mara baada ya kugongana na lori lingine la mafuta.Picha zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages