.....................................................................................................................
Mkuu wa wilaya ya Kilwa Bw Abdala Ulega amewakata watendaji na watoa
huduma wilayani humo kuhakikisha huduma muhimu za matibabu hasa dawa
zinapatina muda wote ili kuboresha huduma wilayani hapo.

Aliyasema hayo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya
uhamasiahaji wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF)
inafanywa na Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika halmashauri kumi
nchi nzima iliyozinduliwa kata ya Tingi njia nne wilayani kilwa.

Ulega alisema serikali kupitia mifuko ya uchangiaji ya bima ya afya
(NHIF) na mfuko wa afya ya jamii (CHF) imetoa fursa kwa wamiliki wa
vituo vya matibabu na watoa huduma kutumia fedha za uchangiaji huduma
kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vitendanishi kwa ajili ya kuboresha
huduma kwa wananchi na kwamba fedha hizo sio za kulipana posho katika
vikao.

Awali, mkurugenzi wa masoko na utafiti wa bima ya afya Rehani Athumani
alimweleza mkuu huyo wa wilaya kuwa kampeni hiyo inayozinduliwa
itafanyika katika halmashauri nyingine kumi na hivyo kufanya jumla ya
halmashauri zilizohamasisha nchi nzima kufikia halmashauri 74 katika
mwaka wa fedha wa 2014/15.

Amezitaja halmashauri hizo kuwa ni Kilwa, Ruangwa, Ulanga, Korogwe na
Rufiji. Nyingine tano ambazo huduma za mfuko wa CHF zitaanzishwa na
kuhamasishwa katika kampeni hii ni Halmashauri ya Kaliua, Kakonko,
Ushetu na Itirima.

Naye mwakilishi wa shirika lisilo la kiserikali la mtandao wa mifuko
ya afya ya jamiii nchini (TNCHF) bibi Kidani Mhenga amewaahidi
wananchi wa mikoa ya Lindi ya Mtwara kuendelea kushirikiana nao katika
kutatua changamoto mbalimbali ili kuboresha huduma za matibabu kupitia
mfuko wa afya wa jamii katika mikoa hiyo. Ameomba ushirikiano wa
wananchi kwa ujumla kwani mafanikio ya utekelezaji wa huduma za mfuko
huo zinategemea ushiriki wa wananchi katika kuchangia na kusimamia
huduma.
Hadi tarehe 31 machi, 2015 mfuko wa afya ya jamii ulikuwa umeandikisha
jumla ya kaya 930,879 sawa na wanufaika 5,85,274.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)