| Baadhi ya wanafunzi walihitimu Life Transformation koziwakitoa shuhuda mbele ya waumini kanisani hapo wakati wa ibada |
| Apostle Onesmo Ndegi Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre Ministry na Mke wake Lilian Ndegi wakifuatilia shuhuda kwa umakini sana |
| Mhitimu akitoa shuhuda mbele ya waumini kanisani hapo wakati wa ibada |
| Baadhi ya wahitimu wa darasa hilo wakitoa shukrani zao kwa waalimu na watumishi waliohusika kuwafundisha. |
| Wahitimu wa darasa hilo wakiimba katika kwaya yao ya pamoja |
| Furaha kiongozi wa kwaya hiyo akiongoza nyimbo. |
| Umati wa waumini na ndugu wa wahitimu walipohudhulia ibada hiyo kuja kuwatazama ndugu zao |
| Apostle Onesmo Ndegi Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre Ministry,Mke wake Lilian Ndegi,na wachungaji wengine waliokaa viti vya mbele wakiimba na kucheza mbele za Mungu |
| Katika uwepo wa Bwana |
| Mchungaji Naomi Mhamba mmoja wa waalimu wa darasa hilo |
![]() |
| Lilian Ndegi akiongoza maombi |
![]() |
| Ilikuwa furaha sana mbele za Bwana |
![]() |
| Kwaya ya The Living Waters wakihudumu katika mahafali hayo |

![]() |
| Wahitimu wakicheza na kufurahi mbele za Bwana |
| Risala ya wahitimu ikisomwa mbele ya Kiongozi wa Kanisa hilo Apostle Onesmo Ndegi na waumini kwa ujumla. |
![]() |
| Risala ya wahitimu ikikabidhiwa kwa Kiongozi wa Kanisa hilo Apostle Onesmo Ndegi na wachungaji wengine |
![]() |
| Kiongozi wa Kanisa la Living Water Center Apostle Onesmo Ndegi akijibu risala ya wahitimu |
![]() |
| Pia mahafali hayo yalikwenda sambamba na ugawaji wa vyeti kwa wahitimu hao |
![]() |
| ugawaji wa vyeti kwa wahitimu hao |
![]() |
| Mmoja wa wahitimu hao alipokuwa akizungumza juu ya wao kama darasa la Life Transformation kozi juu ya zawadi walizo nazo kwa watumishi walio husika katika kuwatumikia na kuwaundisha |
![]() |
| zawadi zikigawiwa kwa watumishi na waalimu wa darasa hilo. |
![]() |
| Baadhi ya zawadi za vifaa vya usafi zilizo wasilishwa na wahitimu wa darasa hilo katika mahali hayo |
![]() |
| Lilian Ndegi mmoja mwa waalimu wa darasa hilo alipokuwa akiongea na kuwahisi wahitimu hao juu ya maisha yao ya Mungu baada ya kumaliza darasa |
![]() |
| Picha ya pamoja kati ya wanafunzi na watumishi wa Mungu walihusika katika kipindi chote cha darasa Life Transformation kozi |
![]() |
| Picha ya pamoja kati ya wanafunzi na watumishi wa Mungu walihusika katika kipindi chote cha darasa Life Transformation kozi |
























No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)