Pages

Je,Man U itafua dafu dhidi ya Chelsea?

Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba
Chelsea wanatumai kwamba mshambuliaji Loic Remy atacheza katika mechi dhidi ya manchester United baada ya kukosa mechi dhidi ya QPR na jeraha la mguu.
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa hatocheza lakini anaweza kurudi dhidi ya Arsenal wiki ijayo.
Mkufunzi wa kilabu ya manchester United Luois Van Gaal atawakosa wachezaji wake wanne akiwemo Michael carrick,Daley Blind,Phil Jones na Marcos Rojo.
Jonny Evans na Chris Smalling wanahudumia marufuku huku Paddy McNair na Tyler Blackett ni wachezaji wa pekee wa safu ya ulinzi wa kiungo cha kati waliosalia.bbc

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)