Pages

Chelsea yamwinda Theo Walcot

Mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcot anawindwa na wasajili wa Chelsea
Kilabu ya Chelsea inaiangazia kwa karibu hali ya kandarasi ya mchezaji wa Chelsea Theo walcot katika kilabu ya Arsenal na huenda ikamsajili iwapo atakuwa huru mwishoni mwa msimu huu.
Mshambuliaji huyo wa Uingereza atakuwa amesalia na mwaka mmoja katika kandarasi yake na hadi kufikia sasa hajapewa mkataba mpya na Arsenal.
Chelsea walianza kumfuatilia Walcot aliposalia na miezi 12 ya kandarasi yake miaka mitatu iliopita kabla ya kutia sahihi mkataba mpya katika uga wa Emirates.bbc swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)