Wahariri, Tamwa wakutana kufanya tathmini ukatili unaosababishwa na pombe - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wahariri, Tamwa wakutana kufanya tathmini ukatili unaosababishwa na pombe

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo (katikati) akionesha ripoti ya utafiti juu ya matumizi ya pombe na inavyochangia unyanyasaji wa kijinsia kwa Wilaya ya Kinondoni. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT ambalo ndio wawezeshaji wa utafiti huo. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la IOGT. Ripoti hiyo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam.Mwakilishi wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi ya pombe na athari katika vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Mwakilishi wa Shirika la IOGT nchini Tanzania (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kabla ya uzinduzi wa ripoti ya matumizi ya pombe na athari katika vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.Kiongozi Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya Kinondoni, Dk. Severine Kessy (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna utafiti ulivyoendeshwa. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo. Utafiti huo uliendeshwa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT. Kiongozi Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya Kinondoni, Dk. Severine Kessy (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna utafiti ulivyoendeshwa. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Gladness Munuo. Utafiti huo uliendeshwa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT.Kiongozi Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya Kinondoni, Dk. Severine Kessy akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna utafiti ulivyoendeshwa. Utafiti huo uliendeshwa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT. 
Kiongozi Mkuu wa Utafiti juu ya matumizi ya pombe uliofanyika Wilaya ya Kinondoni, Dk. Severine Kessy akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari namna utafiti ulivyoendeshwa. Utafiti huo uliendeshwa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Shirika la IOGT.Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo. Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo.Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo. Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti hiyo wakifuatilia matukio na ufafanuzi juu ya ripoti hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages