Upandikizaji wa uume wafaulu A.Kusini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Upandikizaji wa uume wafaulu A.Kusini

Upandikishaji wa uume wafanikiwa Afrika kusini
Kundi la madaktari wa upasuaji kutoka Afrika kusini limefanikiwa upandikizaji wa uume wa mwanadamu.
Oparesheni hiyo iliochukua masaa manane ilifanywa mnamo mwezi Disemba katika hospitali ya Tygerberg mjini Cape Town kupitia ushirikiano wa chuo kikuu cha Stellenbosch.
Inadaiwa kuwa jaribio la pili la upasuaji huo kufanywa.
Madaktari wanasema kuwa mgonjwa aliyefanyiwa upandikishaji huo amepona.
Uume wake ulikatwa baada ya matatizo yaliosababishwa na kupashwa tohara.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages