Pages

Man United yaichapa Liverpool nyumbani

Manchester United waishinda liverpool
Nahodha wa kilabu ya Liverpool Steven Gerrard alipewa kadi nyekundu baada ya sekunde 38 baada ya kuingia katika kipindi cha pili ili kuchukua mahala pake Adam Lalana aliyepata jeraha.
Kutolewa huko kuliisaidia Manchester United kuishinda Liverpool katika uwanja wa nyumbani wa Anfield.
Gerrard aliingizwa baada ya Juan mata kuifungia Manchester United bao la kwanza ili kuimarisha safu ya kati ilokuwa ikitawaliwa na manchester United. .
Nahodha huyo alimkanyaga Ander Herrera na hivyobasi kupata kadi nyekundi swala lililoathiri mchezo wa Liverpool.
Baadaye Juan Mata alipata bao la pili alilofunga vizuri na hivyobasi kuipatia ushindi manchester united..bbc swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)