Pages

Jengo laporomoka mkoani mwanza leo

IMG_6387.jpg
Hapa ndipo ilipotokea ajali, ni kando ya ghorofa hiyo ndefu wakiwa wanaanza ujenzi wa ghorofa nyingine ukuta ukaanguka na kuwaponda wafanyakazi waliokuwa wakihusika na kujenga msingi wa ghorofa jipya kando yake.
IMG_6367.jpg


Eneo hili la ndani ambapo askari wa Zima Moto na uoakoaji wakiwa kazini kuvuta maji ili kuangalia vibarua wengine waliokuwa wakichimba kama wapo ndani hai au maiti, hii ni baada ya kuwaokoa wanne wakiwa majeruhi.

IMG_6373.jpg

IMG_6374.jpg
Mpaka sasa hakuna taarifa za kifo inaelezwa kuwa kati ya majeruhi wanne waliookolewa mmoja alikuwa katika hali mbaya na wote wamekimbizwa hospitali ya rufaa ya Bugando kwa matibabu zaidi. Picha kwa hisani ya Tovuti ya mabadiliko.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)