Pages

Chelsea Mabingwa wa Kombe la Capital One

Kikosi cha timu ya Chelsea kikiongozwa na kocha wao, Jose Mourinho baada ya kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup 2014/15 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.
Mourinho akiwa anakatiza mapambo maalum katika sherehe za kutwaa kombe hilo.
Shangwe zaidi kwa wachezaji wa Chelsea.
 Mourinho akijinafasi na wachezaji wake.
Kapteni wa timu ya Chelsea, John Terry (katikati) akiwa amenyanyua kombe.
Mourinho (katikati) akiwa na kombe.
Wakishangilia ni wchezaji wa Chelsea, Cesc Fabregas (kushoto), Cesar Azpilicueta (katikati) na Diego Costa (kulia).
Diego Costa, John Terry na Didier Drogba wakiendelea na shangwe.
Mchezaji wa Chelsea, Diego Costa (kulia) akimtoka beki wa Tottenham.
Wachezaji wa Tottenham wakiwa hoi baada ya kipigo kutoka kwa Chelsea.
CHELSEA imetwaa ubingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.
Kombe hili ni la kwanza kwa kocha Mourinho tangu ajiunge kwa mara nyingine klabuni hapo mwaka 2013 akitokea nchini Hispania alikokuwa akiifundisha miamba ya soka nchini humo Real Madrid.
Tottenham (4-2-3-1): Lloris 6; Walker 5.5, Dier 5.5, Vertonghen 6, Rose 5.5; Bentaleb 5, Mason 5.5 (Lamela 71 6); Chadli 5.5 (Soldado 80), Eriksen 6.5, Townsend 5.5 (Dembele 62 6); Kane 5.
Subs not used: Vorm, Davies, Fazio, Stambouli,
Booked: Dier, Bentaleb
Manager: Mauricio Pochettino 5
Chelsea (4-3-3): Cech 7; Ivanovic 7, Cahill 7.5, Terry 8.5, Azpilicueta 7; Ramires 6.5, Zouma 6; Hazard 7.5, Fabregas 7.5 (Oscar 88), Willian 7 (Cuadrado 76); Diego Costa 8 (Drogba 90).
Subs not used: Courtois, Filipe Luis, Ake, Remy.
Booked: Cahill, Cuadrado, Willian
Manager: Jose Mourinho 7.5
Referee: Anthony Taylor 7
MOTM: Terry
Attendance: 89,297

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)