Watu 6 wahofiwa kupoteza maisha mara baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Kipunguni - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Watu 6 wahofiwa kupoteza maisha mara baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Kipunguni

Watu sita wa familia moja wanaelezwa kufa katika ajali ya moto huko, Kipunguni-Ukonga jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu

Habari za awali kutoka eneo la tukio zinapasha kuwa waliofikwa na msiba huo ni ni david Mpila na mkewe Celina Mpila pamoja na  watoto wao kuwa chanzo cha moto huo inaweza kuwa hitalafu ya umeme. Picha kwa hisani ya TBN

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages