Tuone kama utasema Maua Muachie Nyuki - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Tuone kama utasema Maua Muachie Nyuki

Kuna Msemo umezuka hivi karibuni ukisema Kuwa Kauli mbiu ya Valentine Mwaka huu ni "Maua mpeleke Nyuki, Kadi peleka Kliniki Mapenzi Pesa" sasa huyu Mdau hapa kaweka maua kwenye pesa je anayepewa atasema Kuwa Maua Muachie Nyuki?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages