Taswira za Mwili wa Marehemu Abby Sykes ukiswaliwa nyumbani kwake Kawe - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira za Mwili wa Marehemu Abby Sykes ukiswaliwa nyumbani kwake Kawe

Mwili wa baba mzazi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes ukiwa unaswaliwa nyumbani  kwa kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar leo mchana na baada ya kumaliza kuswaliwa hapo umepelekwa msikitini na baada ya kutoka msikitini utapelekwa kwenye makabiri ya Kisutu kwa ajili ya mazishi.
 Mwili wa Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kwenda kuswaliwa baada ya kuswaliwa nyumbani kwa kaka yaka eneo la Kawe jijini Dar
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa amepanda gari lililobeba mwili wa baba yake mzazi ili kuelekea msikitini kwa ajili ya kuswaliwa na kasha kupumzishwa kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar leo
Baadhi ya wasanii pamoja na ndugu na jamaa waliofika kwenye msiba wa marehemu Ebby Sykse

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages