News Alert: Ewura yatangaza kushuka kwa bei ya Umeme kwa Kiasi cha Sh 3. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert: Ewura yatangaza kushuka kwa bei ya Umeme kwa Kiasi cha Sh 3.

Mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei ya umeme toka Sh. 306 hadi 298 kwa uniti sawa na punguzo la shilingi 8 kwa watumiaji wa kawaida.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages