Pages

Konyagi Yawa Mshindi wa pili tuzo za Uzalishaji Bora

 Watendaji wakuu wa kampuni ya Tanzania Distilleries Limited maarufu  Konyagi, wakifurahia kombe kombe la ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014 baada ya kukabishbiwa  kutoka kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, kwenye hafla ya  makabidhiano ya tuzo hizojijini Dar es Salaam juzi usiku. TDL ni kampuni tanzu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL).(PICHA NA MPIGAPICHA WETU)
 Meneja wa Mauzo wa Tanzania Distilleries Limited (TDL)maarufu  Konyagi, Joseph  Chibehe ( kushoto) akipokea kombela ushindi wa pili wa tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora waMwaka 2014, kutoka kwa Makamu wa Rais, Dk. Mohamed GharibBilal, kwenye hafla ya  makabidhiano ya tuzo hizo jijiniDar es Salaam juzi usiku. TDL ni kampuni tanzu ya Kampuniya Bia Tanzania (TBL).
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkabishi cheti cha ushiriKi Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL), Doris Malulu wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa Mwaka 2014, Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)